Numbers 15:35-36

35 aNdipo Bwana akamwambia Musa, “Huyo mtu ni lazima afe. Kusanyiko lote lazima limpige mawe nje ya kambi.” 36 bHivyo kusanyiko likamtoa nje ya kambi na kumpiga mawe hadi akafa, kama Bwana alivyomwamuru Musa.

Vifundo Kwenye Mavazi

Copyright information for SwhKC